HOME

Online Application Click to Apply

WELCOME TO SAIHAS

Tunapokea maombi 2022/2023, Jiunge sasa

We aim to build a Society of Competent Health Care Workers in Tanzania and Africa as whole

OUR COURSES

Technician certificate in clinical medicine NTA Level 5 Ordinary Diploma in Clinical Medicine NTA Level 6
Basic Technician Certificate in Clinical Medicine NTA Level 4 Entry Qualifications: Four “D” PASSES including Physics/Engineering Physics, Chemistry and Biology

Jinsi ya kujiunga na chuo:

Maombi yanapokelewa chuoni moja kwa moja Kihonda-Morogoro au waweza pakua fomu ya kujiunga kupitia tovuti ya chuo www.saihas.ac.tz pia mwombaji anaweza kuomba kwa njia ya mtandao (Online Application). Jaza Fomu ya maombi kwa kufuata maelekezo na ututumie kwa njia ya whatsApp Namba:0753672659 au email: director.saihas@gmail.com   au kuleta Chuoni kwa: Mkuu wa chuo, S.L.P 6386 Morogoro.Ada zetu ni NAFUU na hulipwa kwa awamu NNE katika mwaka, Hosteli bora zenye kuzingatia usawa na usalama wa wanafunzi wetu zipo bila gharama kwa wanafunzi wote.  

FEE STRUCTURE

TUTION FEES IDENTITY CARD STUDENTS UNION NACTE QUALITY ASSURANCE FEE
Amount
(TSHS) 1,400,000/=
Amount
(TSHS) 10,000/=
Amount
(TSHS) 10,000/=
Amount
(TSHS) 35,000/=
PAYMENT PERIOD: 
Paid once or in equal four installments.
PAYMENT PERIOD:
 Once at the begin of first semester.
PAYMENT PERIOD: 
Every year at the begin of the year.
PAYMENT PERIOD:
 Every year at the begin of the first semester